standard

n 1 bendera. raise the ~ of revolt (fig) anzisha mapambano na omba msaada. standardbearer n mshika bendera; kiongozi mashuhuri wa jambo fulani. 2 (often attrib) kipeo sanifu, kipimo, kiwango; (fig) matarajio conform to the ~s of society zingatia matarajio ya jamii. be up to/below ~ -wa juu/chini ya kiwango kilichowekwa the work is below the ~ kazi haikufikia kiwango ~ Kiswahili Kiswahili sanifu. 3 (former) darasa ~ four darasa la nne. 4 monetary ~ n uwiano wa uzito wa metali na madini katika sarafu. the gold ~ n mfumo wa kukadiria thamani ya fedha na dhahabu. abandon/go off the gold ~ achana na mfumo huo. 5 (often attrib) mhimili, nguzo, mwimo. ~ lamp n taa ya nguzo/mhimili. 6 chipukizi lililopandikizwa katika shina wima. standardize vt sanifisha; fanya kawaida, fanya wastani, fanya kuwa ya aina moja. standardization n kusanifisha; kufanya wastani, kufanya kawaida.