stamp
vt,vi 1 ~ something (on/with something) piga chapa, piga muhuri. ~something (out) ponda ponda, seta, vyoga, komesha. ~ing ground n eneo maalum la wanyama fulani k.m. tembo; eneo maalum wanapokusanyika watu wa aina moja. 2 ~ something (on/with something) chora, tia nakshi za mchoro, bandika mhuri wa jina n.k. 3 tia stempu, bandika stempu. 4 ~ something (out) -pa umbo, finyanga. 5 (fig) jitokeza, thibitisha, dhihirisha; kosha n 1 muhuri, alama, chapa. 2 (US sing) namna, tabia men of that ~ watu wa aina ile ile. 3 kukanyaga, kuchapa mguu. 4 (postage) stempu adhesive ~ stempu ya kubandika. ~album n kitabu cha kuwekea stempu, kitabu cha kukusanyia stempu. ~-collecting n ukusanyaji wa stempu (kwa kupenda au kwa shughuli maalum). ~-collector n mkusanyaji wa stempu. ~-dealer n mwuza stempu. ~-duty n ushuru wa hati. 4 (usu. sing) alama, ishara her face bears the ~of suffering uso wake unaonyesha alama za mateso.