stall

n 1 zizi. ~fed adj -a kulishwa na kufungiwa ndani ya zizi. 2 genge. ~- keeper n mchuuzi. 3 (of a clergyman) kiti maalum. 4 (of an engine) kusota. 5 (usu. pl) (GB) kiti cha mbele karibu na jukwaa vt,vi 1 fuga/weka zizini. 2 shindwa kuendelea kwa ukosefu wa kani. 3 (of an aircraft) shindwa kuwasiliana kwa ukosefu wa mwendo. 4 chelewesha jibu, kwepa jibu.