stake

n 1 mambo, kiguzo, kigingi. 2 nguzo ya kuchomea watu moto. go to the ~ chomwa moto (kwa kufungwa kwenye nguzo); (fig) dhurika kwa kupata ushauri mbaya. 3 kitegauchumi. at ~ hatarini, kufa na kupona, pata potea; (fig) his life is at ~ maisha yake yamo hatarini. 4 dau ~ money dau. ~-holder n mshika madau vt 1 shikilia kwa kiguzo/ mambo. 2 ~ something (out/off) weka mpaka wa eneo kwa mambo/viguzo. 3 ~ something on something bahatisha, cheza kamari.