stair

n daraja, kipago. up ~s n orofani, juu. down ~s chini. flight of ~s n ngazi. below the ~s orofa ya chini ya nyumba. at the foot/head of the ~ s chini/juu ya ngazi moving ~s eskaleta: ngazi za umeme katika jengo. ~ carpet n zulia la ngazi. ~ rod n chuma/ubao wa kushikilia zulia ngazini. ~ case; ~ way n ngazi.