stain

vt,vi 1 tia waa (doa, alama, uchafu); (fig) chafua, haribu. 2 tia rangi. ~ed glass n kioo kilichotiwa rangi za kuona. 3 (of material) chuja, chafuka n 1 waa, alama, taka, doa. 2 tone, rangi ~ remover kitoa madoa. stainer n kipaka rangi, mpakaji rangi. stainless adj. 1 pasipo waa, -eupe, safi. 2 -siopata kutu, -siopata alama. ~less steel n chuma cha pua.