stage

n 1 jukwaa, dungu, ulingo. 2 (in a theatre) the ~ n (kazi ya) uigizaji; weledi wa kuigiza. be/go on the ~ wa mwigizaji. ~-craft n ustadi wa sanaa za maonyesho. ~ direction n uongozi wa jukwaa. ~ door n mlango wa nyuma wa waigizaji. ~ fright n kiwewe cha jukwaani. ~ manager n msimamizi/kiongozi wa michezo (ya kuigiza). ~ struck adj -enye kupenda kuwa mwigizaji. ~-whisper n mnong'ono wa jukwaani. 3 (fig) tukio; mahala pa tukio. 4 hatua, wakati, kipindi the baby has reached the talking ~ mtoto amefikia wakati wa kusema. 5 mwendo kati ya vituo viwili. ~ (-coach) n (hist) gari la abiria linalokokotwa na farasi. fare-~ n sehemu yenye nauli isiyobadilika vt,vi 1 fanya tamthilia; onyesha mchezo jukwaani. ~ a come-back rudi ulingoni/ uwanjani (baada ya kuacha mchezo). 2 faa/-tofaa jukwaani. staging n 1 uonyeshaji wa tamthilia 2. jukwaa. stagy adj -a kuigiza, a kuigizaigiza. stagily adv. staginess n.