staff

n 1 fimbo, gongo; mkongojo ~of life (fig) mkate. 2 fimbo rasmi. 3 nguzo. 4 wafanyakazi, watumishi. (mil) ~office ofisi ya utumishi. 5 Maafisa waandamizi wa jeshi. 6 (mus) mistari ya kuandika manota vt ajiri watumishi/wafanyakazi; wa mfanyakazi/mtumishi.