stack

n 1 kitita, rundo la nyasi, fito n.k. katika umbo la mviringo au mstatili. 2 bunduki zilizopangwa katika umbo la pembetatu. 3 (brickwork or store work) mabomba ya moshi; dohani. 4 rafu. 5 kundi la ndege zinazozunguka angani zikiwa zinasubiri zamu ya kutua. 6 rundo (la vitabu, kazi, n.k.); (colloq) idadi/kiasi kikubwa vt 1 ~(up) rundika. 2 (US) (of playing cards) panga kwa hila, changia. have the cards ~ed against one (fig) wa matatani, wa katika hali ngumu. 3 panga ndege angani kufuatana na zamu ya kutua.