squire

n (GB-ancient) msaidizi wa lodi (aliyembebea ngao na silaha zake). 2 mwinyi katika kijiji. 3 msindikizaji wanawake; mpenda kukaa na wanawake. 4 (US) mwanasheria. 5 Bwana. squirearchy n mamwinyi, tabaka la mamwinyi vt (of a man) sindikiza/shughulikia bibi.