squeeze

vt 1 bana, minya; kaba ~ to death kaba mpaka kufa; songa. 2 ~ something (from/out of something); ~ something out kamua. 3 penyeza; penya. 4 ~ something out of something/somebody toza, lipiza. 5 vi bonyea. squeezable adj -a kuminyika, -a kupenyeka, -a kupunguka n 1 kuminya; msongamano a ~of lemon tone la limau. 2 close/narrow/tight ~ n kuponea tundu la sindano/ chupuchupu. 3 (colloq) sera ya kubana matumizi kwa kuweka viwango vya juu vya kodi, riba, n.k.; fedha za ziada zinazotozwa watu. squeezer n kibanio/kiminyio; kikamulio; mminyaji, mkamuaji.