squeal

n unyende: kilio chembamba kirefu (cha hofu au maumivu) vi 1 lia, toa sauti kali. 2 sema kwa sauti kali. 3 (colloq) - wa mtoa habari. squealer n 1 mnyama mwenye sauti kali. 2 mtoa habari, shushushu.