squeak

n 1 mwaliko; kilio chembamba. 2 a narrow ~ kuponea chupuchupu vi 1 alika. 2 ~ something (out) tamka/sema kwa sauti ya juu; (colloq) -wa mtoa habari, -wa shushushu. squeaker n (colloq) mtoa habari. squeaky adj a ~y floor sakafu inayoalika.