square
adj 1 -a mraba.~dance/game n mchezo ambapo wachezaji katika mraba huangalia ndani ya mraba. 2 kama pembe mraba. ~brackets n mabano mraba. ~built adj (of a person) -enye miraba minne, pande la mtu; pandikizi la mtu. ~ rigged adj (of sails) -enye matanga yaliyokuwa pembe mraba kutoka katika mlingoti. ~shouldered adj -enye mabega yaliyo pembe mraba kutoka shingoni. squaretoed adj -enye kupenda mambo rasmi. 3 sambamba, sawa na, liosawazishwa. be (all) ~ (golf) sare, enda suluhu; bila kudaiana. get ~ with somebody lipa fedha; (fig) lipa deni. 4 -a mraba. ~ km. km za mraba. ~ root n kipeo cha pili. 5 -a haki, a kweli. ~deal n maafikiano ya haki. get/give somebody a ~deal mtendee mtu haki; mfanyie mambo mazuri. 6 kamili, -a kutosheleza kabisa. a ~meal n mlo kamili. squarely adv 1 kwa kuunda pembe mraba. 2 kwa haki/uaminifu. fair and ~ kwa haki kabisa. 3 kwa mkabala. 4 moja kwa moja. squareness n 1 mraba. back to ~one rudia mwanzo. 2 chochote kilicho mraba. 3 uwanja (wa pande nne). barrack ~ uwanja wa kikosi cha askari. ~ bashing n (sl) gwaride la kijeshi (hasa la kutembea). 4 majengo na barabara zinazozunguka uwanja wa mraba. 5 majengo yaliyozungukwa na barabara nne. 6 (maths) kipeo. 7 filifili, rula ya T, kipima pembe. out of ~ sio pembe mraba. 8 on the ~ nyofu, adili. 9 kikosi cha askari wa miguu katika umbo la mraba. 10 (sl) mshikilia ukale, mtu asiyekubali mawazo mapya vt,vi 1 fanya mraba. ~ the circle jaribu jambo lisilowezekana. 2 fanya pembe mraba katika mstari. 3 sawazisha, patanisha. 4 zidisha namba kwa yenyewe. 5 ~ something off gawa katika miraba. 6 ~ (up) (with somebody) lipa deni la mtu; (fig) lipiza kisasi. 7 honga, -pa rushwa. 8 ~(something) (with) linganisha, oanisha. 9 ~up to somebody -wa tayari kupigana, kabili.