spurn

vt,vi sukumia mbali, piga teke. 2 kataa kwa dharau, dharau, beua n ukataaji jambo kwa dharau.