spring
spring
1 vi,vt ruka ghafla, chupa. ~upon rukia. ~ to one's feet simama ghafula. 2 ~ (up) chipuka, tokeza. 3 ~ from tokea/tokezea. 4 ~something on somebody toa ghafla. 5 anzisha/ fyatua/tegua mtambo/mtego. 6 pasuka, atuka. ~ a leak -anza kuvuja n 1 kichipukizi, kitawi. 2 (derog) chipukizi, kijana vt pamba kwa chipukizi n 1 mtambo, springi. 2 (of a watch) kamani, utumbo. 3 (water) chemchemi, jicho la maji. 4 ruko, mruko. 5 mnyambuko, kuduta. 6 asili, mwanzo, chimbuko. 7 kisa, sababu. 8 (compounds) ~-balance n mizani ya springi. spring-board n ubao wa kuchupia. ~chicken n kuku mchanga; (fig) kisichana. springgun n bunduki ya kutega. ~ mattress n godoro la springi. springless adj. springy adj.spring
2 n majira ya kuchipua. springtide n bamvua. springtime n majira ya kuchipua vt ~clean safisha (nyumba, chumba) vizuri. springlike adj -a kama majira ya kuchipua.