spray

spray

1 n 1 manyunyu; rasharasha. 2 vioevu (vyenye kunyunyizwa, k.m. marashi, viua wadudu, n.k.). 3 kinyunyizio. ~ gun n kinyunyizio cha shinikizo vt ~ something/somebody (with something); ~something (on something/somebody) nyunyizia, pulizia. sprayer n 1 mnyunyizia/mpulizia (dawa, rangi, n.k.). 2 kinyunyizio.

spray

2 n kitawi; pambo (aghalabu la vito) lenye umbo la tawi.