splinter

n 1 kibanzi, kichane, . 2 (of glass) kigeregenza vt,vi vunjavunja, chanachana; vunjikavunjika, chanikachanika. ~-group n (political) genge la waasi. splinter-proof adj isiyo pata ufa vt; vi ~ (off) vunjika vipande vipande; toka kibanzi. splint n banzi, gango, kitata, kijiti vt ganga, funga kwa banzi.