splash

vt,vi ~ something (about) (on/over something); ~ something/somebody (with something) rushia, rashia (maji, matope n.k.) the car ~ed mud over us gari liliturushia matope. 2 (of a liquid) ruka; rukaruka. 3 tua, anguka (kwa kurushia maji). ~-board n (vehicle) bamba la kuzuia maji. splash-down n kutua kwa chombo cha anga majini. 4 ~ one's money about (sl) tapanya pesa (kwa kujionyesha) n 1 sauti ya kurashia maji/matope. 2 madoamadoa ya rangi. 3 (colloq) kiasi kidogo cha soda a whisky and ~ wiski na soda kidogo. 4 (colloq fig). make a ~ jionyesha kwa kutapanya fedha.