spit

spit

1 n 1 kijiti/chuma cha kubanika nyama toast on a ~ banika. 2 musoma, sehemu nyembamba ya nchi kavu iliyoingia majini vt tunga (nyama) katika chuma/kijiti.

spit

2 vt,vi 1 ~ (at/on/upon somebody/something) tema; temea ~blood tema damu; (of a cat) toa ukali. 2 ~ something (out) tema; (fig) foka ~ out threats tishia. 3 (of a fire, candle) alika; (of a gun) tema (risasi). ~-fire n mwenye hasira nyingi. 4 (of rain or snow) nyunya, chonyota n 1 mate. 2 kutema ~ and polish kusafisha na kung'arisha. 3 the dead ~ of; the ~ and image of; the ~ting image sura moja na the ~ting image of his father sura moja na baba yake. 4 mate-povu (ya wadudu). spittle n mate. spittoon n chombo cha kutemea mate.

spit

3 n kina cha koleo/sepetu.