spin

vt,vi 1 ~(into, from) pota, sokota. ~ning jenny n mashine ya kusokota nyuzi (zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja). spinning-wheel n gurudumu la kusokota nyuzi. 2 (of a spider) jenga kimia/utando. 3 (fig) tunga hadithi. ~ a yarn simulia hadithi. ~ something out bania, tumia kitu kwa muda mrefu. 4 zungusha, rusha. ~ a coin rusha sarafu. spin-drier n mashine ya kukaushia. spin-dry vt kausha nguo kwa mashine. spin-off n faida ya ziada (isiyo tegemewa). 5 biringika, zunguka haraka; (of bicycle etc) enda kwa kasi. 6 spun glass n glasi iliyosokotwa nyuzi (kwa moto). spun silk n hariri duni (iliyochanganywa na pamba) n 1 mzunguko; kuzunguka. 2 matembezi (kwenye gari, baiskeli nk.). 3 (of an aircraft) mbiringiko/kugeuka ghafla. be in a flat ~ wa na wasiwasi/harara.