1vi,vt 1 mwaga, tapanya. ~-blood mwaga damu, wa na kosa la kuua au kujeruhi mtu it's no good crying over spilt milk maji yaliyomwagika hayazoleki. 2 (of horse, cart etc) bwaga, angusha, dondosha n mwangusho; mbwago. spill-overn(often attrib) ziada (ya watu n.k.). ~-wayn mfereji wa kupunguza maji ya mto/bwawa.