spike

n 1 msumari; mwiba; uma; njumu. 2 kitu kilichochongoka. ~ heel n kiatu mchuchumio. 3 suke: (kanda) la mpunga (mtama, n.k.). 4 msuka. 5 spikes n viatu vya njumu vt 1 choma/toboa (kwa msumari n.k.); haribu kwa kuchoma. 2 (of cannon) haribu kwa kutia msumari tunduni mwa fataki. ~ somebody's guns haribu mipango ya mtu. spiky adj -a kuchongoka; -enye ncha kali; -a miiba.