sphinx

n 1 sanamu la jiwe huko Misri (lenye mwili wa simba na kichwa cha mwanamke). 2 msiri; mtu mgumu kueleweka mawazo na malengo yake.