spell
spell
1 n 1 kipindi; muda a ~ of bad luck kipindi cha bahati mbaya wait a ~ ngoja kidogo. 2 zamu vt ~ somebody (at something) pokezana (zamu).spell
2 n 1 laana/apizo cast a ~ over somebody (fig) duwaza. ~ bound adj -enye kustaajabisha, -a kuteka usikivu. ~-binder n msemaji hodari. 2 (fascination) mvuto, (kwa uzuri n.k.).spell
3 vt 1 taja/andika (tahajia za neno). spelling pronunciation n matamshi ya tahajia. 2 ashiria this weather ~s ruin to us hali hii ya hewa inaashiria maangamizi kwetu delay may ~ danger kuchelewa kwaweza kuzaa hatari. 3 ~ something out soma neno kwa neno kwa taabu; eleza kinagaubaga. speller n 1 kitabu cha tahajia. 2 mwendeleza maneno be a good ~er -wa mwendelezaji hodari be a bad ~er -wa mwendelezaji mbaya. spelling n tahajia.