speed
n 1 mbio, kasi, haraka. more haste less ~ (prov) haraka haraka haina baraka. 2 mwendo, spidi at full ~ katika mwendo mkali. 3 (sl) dawa ya kusisimua. 4 (compounds) ~-boat n mashua ya kasi. ~-cop n (sl) askari wa usalama barabarani (agh. anayeangalia spidi za waendesha magari). ~-indicator/ speedometer n spidometa, kipima spidi. ~-limit n kikomo rasmi cha spidi. ~merchant (sl) n mwendesha gari kwa mwendo wa kasi. speedway n uwanja wa mbio (agh. kwa ajili ya pikipiki), (US) baraste vt,vi 1 enda/endesha kasi, zidisha mwendo. 2 peleka haraka; (arch) fanikisha God ~ you mungu akupe heri. 4 ~ (something) up ongeza kasi. speed-up n kuongeza kasi. speeding (of motorist) kuzidisha kasi. speedily adv kwa haraka. speedy adj haraka, -epesi, -a kasi.