speech
n 1 (uwezo/kipaji cha) kusema, kunena have the power of ~ weza kunena. ~therapy n tiba ya matatizoya kunena (k.m. kigugumizi). 2 (mode) msemo, usemi; kauli. figure of ~ n tamathali ya usemi. direct ~ kauli halisi. indirect/ reported/oblique ~ n kauli iliyotajwa parts of ~ aina za maneno slow of ~ kusema pole pole. 3 hotuba, waadhi make a ~ toa hotuba. ~ day n (school) sikukuu ya wazazi. 4 lugha (ya taifa, kundi n.k.). speechless adj -sioweza kunena (kwa sababu ya hasira, hofu n.k.) be ~less pumbaa, duwaa be ~less with terror pigwa na butaa. speechlessly adv. speechify vi eleja.