specious

adj 1 -a hadaa, -enye uzuri wa juu juu tu, - enye kuonekana -zuri/ kweli (lakini siyo). 2 -a kughilibu, -a kujifanya. speciousness n hadaa, ghiliba; kudanganya macho. speciously adv.