specific

adj 1 dhahiri, bayana. 2 maalum, mahususi. ~gravity n uzito linganifu mahususi. ~ name n jina maalum la spishi. ~ remedy n tiba maalum (kwa ugonjwa fulani). specifically adv. specification n 1 ainisho; uonyeshaji uhalisi (wa kitu). 2 (often pl) vipimo kamili. specify vt taja, eleza bayana.