special

adj 1 -a namna -a pekee; (definite) maalumu. ~constable n konstebo maalumu, mwanamgambo/ mgambo. ~ delivery n upokeaji/ ufikishaji barua vifurushi n.k. kwa njia maalum. ~ licence n liseni maalum ya kibali cha ndoa. specially adv hasa. specialist n mtaalamu. speciality n 1 utaalam, kazi, shughuli maalum this is his ity huu ndio utaalam wake/hii ndiyo kazi yake hasa/hii ndiyo shughuli aiwezayo hasa/hapa ndipo mahali pake. 2 hulka/sifa maalum. specialize vt,vi 1 ~ize (in something) wa mtaalamu, bobea, topea. 2 wekwa maalum a hospital with ~ized wards hospitali yenye wodi maalum. specialization n. specialty n see speciality.