spasm

n 1 mshtuko/mkazo wa ghafula (wa msuli) 2 tukio la ghafla. 3 mpasuko (wa nishati). 4 (convulsion) mtukutiko. spasmodic adj -a (kutokea kwa) vipindi visivyo tabirika. 2 -a kushtushwa, ghafula; -a kubana, -a kusababishwa na mshtuko. ~ odically adv.