spark
spark
1 n 1 cheche; kimota. 2 (fig) chembe, dalili ya uhai vi,vt toa cheche, tatarika. ~-gap n pengo katika ncha za waya za umeme. ~-plug/~ing-plug n plagi. ~ something off anzisha, chochea. sparkle vi 1 metameta, memetuka, ng'ara. 2 (effervesce ) chemka n 1 mng'ao, mmeto 2 (of wines) kuchemka. sparker n 1 kimulimuli, mng'ao. 2 (pl) (sl) almasi. sparkling adj (esp wine) -liochemka, -enye kutoa viputo vidogo vidogo.spark
2 n (colloq) mbeja, mmalidadi.