spar

spar

1 n 1 boriti, kombamoyo, mhimili, nguzo. 2 (naut) mlingoti, makiri. ~buoy n mlingoti wa boya. ~-deck n rosheni ya juu ya meli.

spar

2 vi 1 pigana ngumi(kwa mazoezi). 2 (fig) shindana, bishana n shindano, bishano. sparring n. ~ring partner n mpiga masumbwi wa mazoezi.