span

1 n 1 shubiri, futuri. 2 muda, kitambo. 3 (bridge) umbali, upana (kati ya mihimili); tao. 4 (of horses/oxen etc) jozi, -wili. 5 ~ roof n mgongo wa tembo vt 1 pima kwa shubiri. 2 (extend) vuka a bridge ~ned the river daraja lilivuka mto. 3 dumu, ishi his life ~ned almost 100 years aliishi karibu miaka 100.