n 1 anga. ~-capsulen kibumba cha anga. ~craft/ship/vehiclen chombo cha anga. ~-rocketn roketi ya anga ~suit suti/vazi la angani ~station kituo cha angani ~traveln usafiri angani. 2 nafasi, kitambo, urefu kati ya we were separated by a ~ of 5 feet kulikuwa na nafasi ya futi tano kati yetu. 3 uwanda, sehemu open~ uwanda mtupu, nafasi iliyoachwa wazi. 4 uwazi ~ vector vekta uwazi ~ between the lines uwazi kati ya mistari ~-bar pao uwazi. 5 muda, kipindi within the ~of ten minutes mnamo dakika kumi vt~ something (out) panga kwa nafasi sawasawa. spacingn nafasi baina ya mistari, vitu n.k. single/ double spacing (kuacha) nafasi moja/mbili kati ya mistari. child spacingn uzazi wa majira. spaciousadj kubwa, -pana,-enye nafasi kubwa. spaciouslyadv. spaciousnessn.