souvenir

n ukumbusho, hedaya. sovereign adj 1 -kuu; -enye enzi, -a kifalme ~ state dola huru. 2 bora; -a nguvu n 1 sarafu ya dhahabu (ya zamani, Uingereza). 2 mwenye enzi; mwenye nchi; mfalme/malkia. ~ty n 1 mamlaka; enzi. 2 hukumu, utawala.