south

n kusini. the S~ n upande wa kusini; nchi za kusini adj -a kusini, -a n upande wa kusini. the ~ star n ng'andu/zuhura. ~ winds n pepo za kusini.~ Pole n Ncha ya Kusini. southerly; southern adj -a kusini, -a upande wa kusini. ~ern cross n nyota nne za kusini mfano wa msalaba. southbound adj -a kuelekea kusini, -a kwenda kusini. ~ east n kusini mashariki adj -a kusini mashariki. ~-easter n pepo zivumazo kutoka kusini mashariki, pepo za kusi. southeasterly adj -a kutoka kusini mashariki; -a kuelekea kusini mashariki. south-eastern adj -a kusini mashariki. ~ west n kusini magharibi. ~-wester; sou-wester n pepo za kusini magharibi. south-westerly; south-western adj -a kutoka/kuelekea kusini magharibi. southward adj kuelekea kusini. ~ward(s) adv -a kuelekea kusini, kwa kusini. adj -a kusini. n ~ern mtu wa kusini. souther n. ~ern most adj -a kusini kabisa; -a kusini nchani.