souse

vt,vi 1 chovya, mwagia maji mengi, suuza. 2 (pickle) loweka, weka katika maji ya chumvi, bambika n 1 kutengeneza achari. 2 (sl) ulevi; mlevi. soused adj (sl) levi, -liolewa, chakari.