soup

n supu. in the ~ (colloq) matatani. be in the hot ~ patikana na janga, -wa matatani. ~-kitchen n pa kuwapea supu maskini bila malipo. ~ladle n upawa wa supu. ~-plate n sahani ya supu. ~-tureen n bakuli la supu. vt ~ something up (sl) ingiza kifaa cha kuongezea injini nguvu/mwendo.