sound

sound

1 n 1 sauti, mlio. 2 uvumi, mvumo. 3 maana (ya kichinichini). 4 (compounds) ~ archive n kumbukumbu za kanda. ~ barrier n mapatano ya spidi ya sauti na ya ndege. ~-box n santuri. ~ effects n mapambo ya sauti. ~-film n filamu yenye sauti/maneno. ~ proof n -siopenya sauti. ~ recording n ukanda wa sauti bila picha. ~-track n kifereji cha sauti (katika sahani ya santuri au utepe wa filamu). ~-wave n wimbi la sauti. soundless adj sio na sauti, bila sauti. soundlessly adv vt,vi 1 toa sauti, lia, liza, piga (chombo cha) muziki ~ a trumpet piga tarumbeta. 2 tangaza; tamka. ~ a note of alarm tangaza hatari. ~ retreat amuru kurudi. 3 tamka (herufi n.k.). 4 pima/chunguza kwa kugonga. 5 onekana, elekea, toa picha, sikika. ~ hollow lia wazi. ~s queer onekana kioja. 6 ~ing board n kibao cha kupazia sauti; (fig) njia ya kuenezea maoni.

sound

2 adj 1 -zima, timamu, kamili. a ~ mind in a ~ body akili timamu ndani ya mwili wenye afya. ~ in wind and limb (colloq) mzima wa afya. safe and ~ salama salimini. ~ in health -enye afya njema. 2 -a mantiki/busara; thabiti, imara. 3 angalifu, -a uwezo 4 kamili, barabara. a ~ beating n pigo barabara/la haja. soundly adv. fofofo. soundness n adv fofofo be/fall ~ asleep lala fofofo.

sound

3 n mlangobahari.

sound

4 vt 1 tia bildi, pima maji kwa bildi. sounder n saunda: chombo cha kupokea na kupeleka habari kwa sauti. 2 jaribia moyo, hakiki shauri, hoji, dadisi. ~somebody (out) (about/on something) pata maoni ya; tikisa kibiriti usikie mlio wake. soundings n vipimo; maoni, hisia; eneo la upimaji.