sort
n 1 jinsi, namna, aina, mtindo; what ~ of fellow is he? ni mtu wa namna gani? of an African ~ -a Kiafrika of a ~/of ~s -a aina yake, -a namna fulani. 2 hali I ~ of felt it nilihisi hivyo. a ~of -nyangalika. (colloq) after a ~, in a ~, kwa kiasi fulani 3 a good ~ mtu mzuri, mwungwana. 4 out of ~s; (colloq) hoi, gonjwa, ovyoovyo (colloq) he is out of ~ hajiwezi, kidogo mgonjwa ~ vi,vt 1 ~something (out) ~ classify tenga, chambua, ainisha, changanua, piga mafungu ~ out the good soldiers from the bad ones ainisha askari wazuri na wabaya. ~ something out (colloq) tatua, maliza let developing nations ~out their own problems ziache nchi zinazoendelea zitatue matatizo yao. 2 ~-well/ill with (liter) chukuana/achana na. sorter n 1 mchaguaji, mtengaji (barua n.k.). 2 mashine ya kuchagulia/kuchambua. sorting n uchambuzi, kuchambua, uainishaji.