solitary

adj -a peke (yake), pweke, -moja tu, -a kujitenga, -kiwa. ~ confinement, n kutengwa, kifungo cha upweke. in ~ (wa) katika kifungo cha upweke. solitude n 1 upekee, upweke; faragha, ukiwa 2 mahali pa upweke.