vt,vi 1 ~somebody (for something) omba, sihi. 2 (of a prostitute) tongoza. solicitationn. solicitorn 1 mwanasheria; wakili. ~or and client costs gharama za mwanasheria na mteja. S~or General Mwanasheria wa Serikali. 2 mshawishi, mbembeleza (biashara n.k.). solicitousadj. ~ous (for/about/ something/somebody); ~ous (to something) -enye kutaka kusaidia, -a kujihusisha (na mambo ya mtu mwingine); -enye kujali. solicitouslyadv. solicituden kutaka kusaidia, kujihusisha (na mambo ya mtu mwingine); wasiwasi, mashaka.