soldier

n askari, mwanajeshi. private ~ n askari wa kawaida. ~ of fortune n mamluki, askari wa kukodiwa vi fanya kazi ya uaskari. be tired of ~ing choshwa na uaskari. ~ on fanya kazi kwa ujasiri. ~ly; ~like adj kama askari, kiaskari; kakamavu; jasiri. soldiery n.