solar

adj -a jua, -a sola. ~ cell n beteri/seli ya nishati ya jua; kifaa kinachogeuza mwanga/nishati ya jua kuwa umeme. ~energy n nishati ya jua/sola. ~ calculator n kikokotoo sola. the ~ system n mfumo wa jua na sayari zake. ~ plexus n mishipa ya fahamu (nyuma ya tumbo) the ~year kipindi cha dunia kuzunguka jua. solarium n chumba/jengo la tiba/ burudani linaloruhusu mionzi ya jua kuingia.