soil

soil

1 n 1 udongo heavy ~ udongo mzito light (sandy) ~ udongo wa kichanga. ~erosion n mmomonyoko wa udongo ~conservation kuhifadhi ardhi. ~ pipe n bomba la choo cha maji ~science sayansi ya udongo ~ survey uchunguzi wa ardhi. 2 nchi one's native ~ nchi ya mtu fulani.

soil

2 n uchafu vt,vi chafua; chafuka. ~one's hands shiriki katika jambo baya.