socialite

n (US) (collog) mtu mwenye hadhi ya juu (katika mfumo wa kibepari); tajiri; kizito. socialize vt ishi pamoja; endesha/fanya -a umma, juana. socialization n. socially adv pamoja.