social

adj 1 -a jamii, -a ushirikiano. ~position n hadhi. ~interests n matakwa ya jamii. ~integration n mwingiliano wa kijamii. ~roles wajibu wa kijamii, wajibu katika jamii. ~services n huduma za jamii. ~system n mfumo wa jamii. ~status n hadhi ya kijamii katika jamii. ~stratification n tabaka za kijamii. ~order n utangamano wa jamii. ~security n ruzuku ya serikali (kwa wasiojiweza na wasio na kazi). ~democrat n mjamaa (anayetaka kuleta ujamaa kwa njia ya mageuzi ya amani). ~club n chama. 2 bahasha, cheshi, changamfu. 3 (of animals) -a jumuiya/pamoja. ~worker n mfanyakazi wa huduma za jamii. sociable adj -changamvu, -kunjufu, bahasha. sociably adv. sociability n. ~welfare n ustawi wa jamii.