soap

n sabuni. ~-berry n mharita. ~-box n kikwezeo cha msemaji barabarani. ~bubble n tufe la povu. ~ opera n (US) mfululizo wa drama ya mivutano ya kijamii. soapsuds n mapovu ya sabuni. ~-works n kiwanda cha sabuni vt 1 paka sabuni, tia sabuni. 2 (colloq) sifusifu; jipendekeza, visha kilemba cha ukoka. soapy adj.