snow

n 1 theluji vt,vi -nya theluji, anguka (kama) theluji; tupia theluji; vuvumka. be ~ed in/up kwamishwa na theluji. be ~ed under (with) elemewa, zidiwa. ~ ball n bonge la theluji; jambo/kitu kinachoongezeka kadiri kinavyokwenda; shindano la kutupiana tufe la theluji; kuongezeka haraka (kwa ukubwa, maana nk.). snow-blind adj -liokiwishwa na mng'ao wa theluji. ~ blindness n kukiwishwa na mng'ao wa theluji. ~-bound adj -a kufungiwa/kuzuiwa na theluji. ~-cap n kilele chenye theluji. ~-capped/clad/covered adj -liofunikwa na theluji. ~ drift n chungu ya theluji (iliyokumbwa na upepo). ~ fall n kuanguka kwa theluji. ~-field n mbuga ya theluji; upeo wa theluji. snowflake n kipande kidogo sana cha theluji; chembe. snow-line n mwanzo wa theluji isiyoyeyuka. snow-man n sanamu ya mtu ya theluji. snowplough n gari la kuondoshea theluji njiani. ~-shoes n viatu vya theluji. ~-slide/ ~slip n mmomonyoko wa/ maporomoko ya theluji. ~-storm n dhoruba ya theluji. snow-white adj- -weupe wa theluji, safi. snowy adj -a theluji; -eupe sana. snowily adv.